Baada ya kutenda mema, wakasema ASULUBIWE!

NIMEINGIA Wizara ya Maliasili na Utalii kwa uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, Mnamo Februari 10, 2014, na nimefanya kazi ya Uwaziri kwa takribani miezi 18, anaandika Lazaro Nyalandu. Itakubukwa kwamba kipindi hiki kilikuwa ni kilele cha ujangili wa Tembo barani Afrika, huku Tanzania ikitajwa kuwa nchi kinara kwa masuala ya ujangili wa wanyamapori, hususani Tembo. ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News