AZAM FC: KOMBE HALIONDOKI TANZANIA

NA MWANDISHI WETU-ZANZIBAR KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amesema hawatarudia tena makosa zaidi ya kuhakikisha wanaifunga URA na kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi. Azam imefuzu hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya juzi kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida United, mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Akizungumza na MTANZANIA, Cioaba alisema baada ya kupoteza dhidi ya URA katika hatua ya makundi, wapinzani wao hao wasitarajie kupata mteremko katika fainali, kwani tayari wamejua kilichowagharimu awali. Alisema baada ya kuibwaga Singida atahakikisha anarekebisha...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News