AVEVA, KABURU WATUPIA LAWAMA MAWAKILI KUCHELEWESHWA KESI YAO

PATRICIA KIMELEMETA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa siku saba kwa upande wa Jamhuri kukamilisha mchakato wa kubadilisha hati ya mashtaka ili kuwaondoa washtakiwa wawili katika kesi inayomkabili aliyekua Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake, Godfrey Nyange (Kaburu). Washtakiwa wanaotakiwa kuondolewa katika kesi hiyo ni Zacharia Hanspope na Frank Lauwo ambao hawajawahi kufika mahakamani hapo. Awali, wakili wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai aliieleza mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kuwa kesi hiyo imekuja kwa ajili ya kutajwa....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News