Aua watoto wake kwa kuwachinja, adai bado hajamaliza kazi

Watoto mapacha Nyakato (mvulana) na Nyangoma (msichana) wakazi wa Kijiji cha Butahyaibeba wilayani Bukoba wenye umri kati ya miaka minne na mitano wameuawa kwa kuchinjwa na mtu aliyedaiwa kuwa ni baba yao mzazi usiku wa kuamkia jana. Mwenyekiti wa Kitongoji cha Bulambizi, dickson Barongo ambako mauaji hayo yametokea, alieleza kuwa watoto hao walichinjwa na kutenganishwa vichwa na viwiliwili. “Nilikuwa wa kwanza kufika kwenye eneo la tukio baada ya kufuatwa nyumbani na mtoto aliyenusurika,” alisema Barongo. Barongo alisema kuwa mama wa watoto hao alikimbia wakati mumewe akifanya tukio hilo ili...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News