AU yataka Afrika yote isiwe na viza

TUME ya Umoja wa Afrika (AU) imesema uamuzi wa Serikali ya Kenya, kuruhusu Waafrika wote kwenda nchini humo bila viza ni wa kihistoria. Imetoa mwito kwa nchi nyingine za Afrika, ambazo hazijafanya hivyo, kuiga mfano huo ili kuboresha matembezi ya wananchi barani humo....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Monday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News