ATUPELE GREEN AZIITA KLABU MEZANI

NA MAREGES NYAMAKA SIKU chache baada ya kutupiwa virago aliyekuwa mshambuliaji wa Singida United, Atupele Green, ameziita klabu zinazohitaji huduma yake mezani na kufanya mazungumzo. Jumatatu klabu ya Singida ilitangaza kuachana na wachezaji wake watatu, akiwamo mshambuliaji huyo waliyemsajili Mei mwaka huu akitokea JKT Ruvu iliyoshuka daraja, yakiwa ni matakwa ya kocha Hans Van der Pluijm. Atupele hadi anatupiwa virago alikuwa hajafanikiwa kuifungia timu yake hiyo bao, katika mabao matano yaliyofungwa na timu ndani ya michezo 11 ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza na BINGWA, Atupele...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News