ATCL yajipanga kutawala anga Afrika Mashariki

KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL), imeanza maandalizi ya kuliteka soko la usafiri wa anga katika nchi za Afrika Mashariki. Chanzo cha uhakika kutoka ndani ya kampuni hiyo kimedokeza kuwa, maandalizi hayo yakikamilika ndege za ATCL zitaanza kuruka na kuonekana katika nchi zote sita za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zikitokea Tanzania....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Tuesday, 20 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News