ATC yaleta taharuki Dodoma

NDEGE ya shirika la ndege la taifa (ATC), iliyokuwa imetokea Dar es Salaam kuja Dodoma leo Jumatano, imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege mjini hapa kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma … (endelea). Taarifa zilizothibitishwa na meneja wa ATC mkoani Dodoma, Harrieth Rutihinda zinesema, ndege hiyo iliyokuwa imewasili majira ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 21 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News