Atakavyopokelewa Rais Magufuli siku ya Uhuru Dodoma (+Video)

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Bilinith Mahenge ametoa Taarifa fupi kuhusu maandalizi yaliyofanyika kumpokea Rais John Pombe Magufuli siku ya Maadhimisho ya Sherehe za UHURU zitakazofanyika kitaifa Dodoma December 9 , 2017 katika uwanja vya Jamhuri. RC Mahenge amesema…>>>“Tangu Rais Magufuli atangaze kuhamishia makao ya nchi Dodoma zikiwemo Wizara, Serikali imekuwa ikielezeza shughuli nyingi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News