Ataka watumishi wa umma kutoa huduma bora

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma katika Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo, kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi maeneo yao ya kazi bila kujali itikadi za vyama, cheo wala heshima aliyonayo katika jamii kwani itawafanya wananchi waamini kwamba hawakufanya makosa kukichagua Chama cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu uliopita....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News