ASKOFU KAKOBE: NINA UTAJIRI ZAIDI YA SERIKALI ZOTE DUNIANI

Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF) Zakary Kakobe amesema haofii kuchunguzwa na serikali kuhusiana na ukwasi anaoumiliki na kuongeza kuwa fedha alizonazo ni Zaidi ya fedha zinazomilikiwa na serikali nyingi Duniani. Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili kanisani hapo Askofu Kakobe amesema kuwa, hana wasiwasi wa kuchunguzwa utajiri wake na kuongeza kuwa kwa sasa anamiliki pesa nyingi Zaidi ya serikali ya China na Marekani. Wiki iliyopita askofu Kakobe akihubiri wakati wa mkesha wa sikukuu ya Christmas alidai kuwa yeye ni tajiri zaidi ya serikali ya...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News