Asante Sana Okwi

USIKIA Okwiiii ujue imo. Ndivyo ilivyo kwa sasa kwani straika huyo Emmanuel Okwi ameendelea kuwapa raha mashabiki wa Simba baada ya jana Jumatano kudhihirisha ubora wake kwa kufunga bao pekee lililoizamisha Azam katika mechi kali ya Ligi Kuu Bara, huku Mghana Asante Kwasi akizidi kunoga Msimbazi. Mashabiki wa Simba waliofurika uwanjani hapo walisikika wakiimba ‘Asante Okwi...Asante Okwi, wakiunganisha majina ya nyota wao wanaowapa burudani katika msimu huu ambao wanaamini kabisa ni msimu wa chama lao,kwa jinsi wanavyopata matokeo mazuri kulinganisha na watani za Yanga waliopo nafasi ya pili kwa sasa....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News