Asante rais kwa kuusema ukweli

NA ANGELA KIWIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, kwa kuchapa kazi kimyakimya na kuleta maendeleo makubwa katika mkoa wake. Rais Magufuli amebainisha kwamba Mtaka ndiye kinara katika wateule wake wa ngazi ya mikoa nchini. Amesema kuwa Mtaka ndiye mkuu wa mkoa anayeongoza kwa kufanya kazi vizuri kuliko wote, hii ni kutokana na ripoti iliyomfikia. Rais ameyasema hayo wakati akiendelea na ziara anayoifanya katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Mtaka ni miongoni...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News