ANTONIO CONTE AMEANZA KUJIHARIBIA CHELSEA?

LONDON, England KITENDO cha Antonio Conte kumchana ‘live’ Diego Costa, kimeweka kibarua chake katika hali ya sintofahamu kama kocha wa Chelsea. Hadi sasa hakuna uamuzi wowote mgumu uliochukuliwa lakini mtandao wa Daily Mail unatambua kuwa watu wazito wanaoheshimika pale Stamford Bridge hawajafurahishwa na kitendo alichofanyiwa Costa kwa kupewa taarifa ya kutokuwa kwenye mipango ya Conte kupitia ujumbe mfupi wa maandishi wa njia ya simu. Kuna uwezekano mkubwa kukawa na vikao vya kumtimua Conte. Kufukuzwa kwa Conte halitakuwa jambo geni kwa timu kama Chelsea, hasa kutokana na historia ya miaka ya...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News