ANGELINA JOLIE AMUUMBUA BRAD PITT

LONDON, ENGLAND STAA wa filamu nchini Marekani, Angelina Jolie, amemuumbua aliyekuwa mume wake, Brad Pitt, kwa madai kuwa bado hana msaada kwa familia yake ya watoto sita. Miezi kadhaa iliyopita, kulikuwa na taarifa kwamba Pitt amempa mrembo huyo kiasi cha dola milioni 9 kwa ajili ya huduma za watoto wake, lakini mrembo huyo amedai fedha hizo amemkopesha na si kumpa kwa ajili ya watoto wake kama ilivyoripotiwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Angelina amedai tangu waachane Septemba 2016, baba huyo wa watoto wake hana msaada wowote na fedha hizo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News