Anachokifikiria Ray C kuhusu Diamond Platnumz

Leo February 9, 2018 story ambayo imeshika headlines kwenye mitandao ya kijamii ni ya msanii mkongwe katika game ya Bongo Fleva Ray C baada ya kupost picha ya Diamond Platnumz na kuandika ujumbe kwa mashabiki wa muziki wanaomponda Diamond Platnumz  Kupitia ukurasa wa instagram wa Ray C ameandika caption inayosema “Mi naumiaga sana nikiona huyu mtoto anasemwa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News