AMTUMIA STRAIKA TIKETI YA NDEGE

ZAINAB IDDY NA WINFRIDA MTOI   STRAIKA wa Majimaji, Marcel Boniventure, amepanda ndege fasta kutoka mjini Songea na kutua Dar es Salaam jana jioni kumalizana na Simba, baada ya kutumiwa tiketi ya ndege na mfanyabiashara maarufu nchini na mwanachama wa Wekundu wa Msimbazi hao, Mohammed Dewji ‘Mo’. Boniventure ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa wakiliumiza vichwa benchi la ufundi la Simba kwa muda mrefu kama ilivyokuwa kwa timu nyinginezo, hasa Yanga, Singida United na hata Azam FC, zilizokuwa zikimpigia hesabu kumtwaa kutokana na kuvutiwa na kiwango chake. Pamoja na Ligi Kuu...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Friday, 25 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News