Aliyekuwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Propaganda CCM, Tambwe Hizza amefariki

Richard Tambwe Hizza ambaye ni  Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo February 8, 2018 nyumbani kwake jijini DSM. Mwili wake umepelekwa Hospitali ya Temeke Dar es Salaam. Hadi jana saa tano usiku alikuwa kwenye Kikao cha CHADEMA. Hizza alishawahi kuwa mwanachama wa  CUF, Baadae alihamia CCM na […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News