Aliyekuwa Kaimu Kamishna wa Madini amefikishwa Mahakamani

Aliyekuwa Kaimu Kamishna wa Madini, Ally Samaje leo February 9, 2018 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka mawili ya matumizi mabaya ya madaraka. Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU, Leonard Swai amemueleza Hakimu Mkazi Mfawidhi, Victoria Nongwa kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo kati April 9 na June  21, 2013. Katika kesi hiyo ya […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News