ALIYEIUA YANGA AITAKA SIMBA

NA SAADA SALIM INAWEZA ikawa habari mbaya kwa mashabiki wa Yanga. Unajua kwanini? Hebu sikia hii, yule straika  wa Mbao FC, Habibu Kiyombo, aliwaliza wiki iliyopita ametamka wazi kuwa anatamani siku moja kucheza kwenye kikosi cha Simba, tena akiwa sambamba na straika Mganda Emmanuel Okwi. Kiyombo amekuwa mwiba mchungu kwa mashabiki wa Yanga mwishoni mwa wiki baada ya kuwafunga bao 2 peke yake, Mbao ikiibuka na ushindi wa bao 2-0 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Straika huyo yupo katika kinyang’anyiro cha kuwania ufungaji bora akiwa...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News