Alikiba; "Kuna watu wananunua views ila mimi naona ni utoto"

Kauli ya msanii huyo inakuja ikiwa ni siku moja imepita tangu wimbo wake mpya ‘Mvumo wa Radi’ kupata tatizo katika mtandao wa YouTube ambapo idadi ya views ilisimama na baadaye kushuka.Katika mahojiano na The Playlist ya Times FM amesema suala hilo lipo tena sana ila kwake ni kitu ambacho hakina maana.“Tunajua kabisa kuna hizi bisness za kuweka maroboti katika hizi YouTube, watu wanajifanya wana views wengi na nini. Hivi vitu vipo, tena vipo!, vipo sana tu!, vipo tena sana boss!,” amesema.“Eeeh, wananunua lakini kwa mimi binafsi naona ni utoto, mimi...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Tuesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News