Alichozungumza Rais Magufuli leo akiwa kwenye Ibada Dodoma

President John Pombe Magufuli leo December 17, 2017  ameungana na waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki mkoani Dodoma  katika ibada ya Jumapili. President Magufuli amezungumza na waumini wa kanisa hilo baada ya Ibada na kuwashukuru viongozi wote wa dini na waumini wa madhehebu mengine kwa kuendelea kuliombea Taifa amani, […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 17 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News