Alichozungumza Kibatala baada ya Sugu kuachiwa, ametaja kilichokuwa kinakwamisha dhamana

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Emmanuel Masonga wanaokabiliwa na kesi ya kutoa lugha ya fedheha kwa Rais Magufuli wameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya. Wakili wa Sugu, Peter Kibatala ameongea na AyoTV na millardayo.com na kuelezea ilivyokuwa Mahakamani na pia […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News