Alichozungumza Julio baada ya kushindwa uchaguzi wa TFF

Kocha Jamhri Kihwelu ‘Julio’ amepigwa chini kwenye uchaguzi wa TFF baada ya kuambulia kura mbili (2) katika kinyang’anyiro cha ujumbe wa kamati ya utendaji ambapo alikuwa anagombea kupitia Kanda ya Dar es Salaam ambayo ilikuwa na jumla ya wagombea 12 huku akitakiwa mjumbe mmoja tu kati yao. Baada ya kuanguka vibaya, Julio amesema ameridhika na amekubali matokeo ambayo yamepatikana kutoka na uchaguzi uliokuwa wa wazi, haki na Democrasia. “Nimeridhika na matokeo, waliochaguliwa wamechaguliwa kwa haki, uchaguzi ulikuwa wa wazi na haki. Uchaguzi huu umekwenda vizuri kwa sababu TAKUKURU wamesimama kidete...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Saturday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News