Alichozungumza Diamond Platnumz baada ya Kesi yake na Hamisa (video)

Leo February 8, 2018 Nyota wa muziki, Diamond Platnumz na mwanamitindo Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya usuluhishi kuhusu matunzo ya mtoto wao. Hatua ya Diamond na Mobetto kufika Mahakamani inatokana na Mobetto kufungua shauri kuhusu matunzo ya mtoto aliyezaa na Diamond. Awali Mahakama hiyo ilitupilia mbali shauri hilo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News