Alichokiagiza waziri Mwakyembe baada ya kutangazwa matokeo ya Urais na makamu TFF

Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka Tanzania TFF Revocatus Kuuli amemtangaza Wallace Karia kuwa Rais mpya wa TFF na amemtangaza Michael Richard Wambura kuwa makamu wa Rais wa TFF. Baada ya hapo waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr Harrison Mwankyembe alipewa nafasi ya kuzungumza na wajumbe na washindi kwa mara […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Saturday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News