Alichoandika Kigwangalla kuhusu KAKOBE adai ana ugonjwa wa akili

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuhusu Askofu Kakobe ambaye amenukuliwa hivi karibuni akisema kuwa ana hela kuliko serikali. Kigwangalla ameandika  kuwa kumuhangaikia Kakobe ni kupoteza muda kwani inawezekana akawa na ugonjwa wa akili ambao ameutaja ni kama ‘Bipolar Disorder: Currently Mania’ na kusema dalili zake ni mtu kujisifia…. ..>>>>“Kuhangaika na […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News