AJIB LAWAMANI PENALTI YA CHIRWA

NA SAADA SALIM, ZANZIBAR PENALTI aliyoikosa Obrey Chirwa wa Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, Zanzibar dhidi ya URA ya Uganda juzi, imezua jambo ndani ya kikosi cha Wanajangwani hao ambapo imemwingiza matatani nyota wao, Ibrahim Ajib. Chirwa alikosa penalti ya tano wakati wa hatua ya matuta baada ya timu hizo kutoka suluhu ndani ya dakika 90 za kawaida kwenye Uwanja wa Amaan. Kitendo cha Chirwa kukosa mkwaju huo ulioing’oa Yanga, kimepokewa kwa hisia tofauti na wapenzi wa klabu hiyo, wengi wakihoji kulikoni Mzambia...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News