AFAULU KUINGIA SEKONDARI BILA KUJUA KUSOMA, KUANDIKA

Mwanafunzi Jackson James wa kidato cha kwanza, Shule ya Sekondari Mtwara Ufundi, ambaye ni mlemavu wa viungo, hajui kusoma wala kuandika lakini amefaulu kuingia sekondari. Aidha, mwanafunzi huyo anahitaji msaada wa kwenda Hospitali ya Mifupa na Macho (CCBRT), kwa ajili ya mazoezi ya viungo vyake vya mwili ili aweze kuendelea na masomo yake. Akimzungumzia mwanafunzi huyo Mkuu wa shule hiyo, Paul Kaji amesema mwanafunzi huyo hajiwezi kwa kila kitu hata kuandika hawezi lakini kicha ya ulemavu wake amefaulu katika shule hiyo na amekuwa akisomewa na kusaidiwa na wenziwe. “Amekuwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 21 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News