Adhabu ya MAWIO yazidi kupingwa

ASASI mbili za kihabari na utetezi wa haki za binadamu zimesaini tamko la pamoja la kupinga uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kulifungia gazeti la MAWIO, kwa kipindi cha miezi 24 (miaka miwili), anaandika Hamisi Mguta. Gazeti la MAWIO, linalochapishwa kila siku ya Alhamisi, limefungiwa kwa kipindi hicho kwa agizo la Waziri wa Habari, Utamaduni, ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News