ACT KUIBUKA NA UKAWA YAO

NA GABRIEL MUSHI BAADA ya kusuasua kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), sasa chama cha ACT-Wazalendo kimeamua kuunda umoja wao ambao unatarajia kuhusisha vyama vyote vya siasa vya upinzani bila masharti. Umoja huo ambao utajulikana kama United Patriotic Front (UPF) mbali ya kuhusisha vyama vyote vya siasa bila kujali ukubwa na udogo wake, utakuwa na dhamira moja tu ya kusimamia hoja muhimu za kitaifa. Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Yeremia Maganja aliliambia RAI mwanzoni mwa wiki hii kuwa wamechukua uamuzi huo baada ya kuona vyama vya upinzani havina sauti moja...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News