“Tunawatia watu umasikini, hii sio haki” –Hussein Bashe

Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ameingia kwenye headline nyingine leo February 6, 2018 kutokea Bungeni wakati akichangia mapendekezo yake katika taarifa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kuhusu shughuli za kamati kwa mwaka 2017 ambapo Bashe amekosoa hatua […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News