“Sijawahi na sitakaa nishirikiane na Diwani na Mbunge wa CHADEMA, Full Stop” RC Mnyeti

Leo February 12, 2018 Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ametoa onyo kwa Viongozi wa ngazi za chini katika mkoa huo ikiwemo Wakuu wa wilaya kutoshirikiana na Madiwani na Wabunge wa CHADEMA na kusema kiongozi atakayekiuka atachukuliwa hatua. Mnyeti akizungumza millardayo.com na AyoTV amesema Madiwani hao pamoja na wabunge wamekuwa wakihamasishana kutompa ushirikiano nakuongeza […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News