“Siasa isiyoshughulikia mambo ya watu haina maana” Nape Nnauye

Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amezungumza na wananchi wa Longido akiwa kwenye kampeni za kumnadi mgombea Ubunge Jimbo la Longido Dr. Steven Kiruswa na kusema kuwa siasa isiposhghulikia maisha ya watu haina maana. Nape amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kikifika mahali pakumtafuta mtu bora kina kuwa chama kingine kabisa na watu wanaweza kukichezea wakati […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News