“Rais Magufuli akifungue kitabu na akisome vizuri” –Mbunge Jesca Kishoa

Mbunge wa Viti maalum CHADEMA Jesca Kishoa alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma leo February 7, 2018  kuchangia mapendekezo katika taarifa mbili zilizowasilishwa Bungeni ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya maendeleo ya jamii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge kuhusu masuala ya UKIMWI ambapo hapa anazimiliki dakika zake […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News