“Ni marufuku shule kukaririsha, kuhamisha au kufukuza wanafunzi wanaofeli” – Wizara ya Elimu

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo January 12, 2018 imetoa agizo kwa shule zote ambazo ziliwarudisha nyuma wanafunzi madarasa, au kuwahamisha au kuwafukuza shule wanafunzi kwasababu hawakufikia wastani wa ufaulu husika kuhakikisha wamewarudisha wanafunzi hao shule ifikapo January 20, 2018. Agizo hilo limeelekeza kuwa kwa shule ambayo itakaidi agizo hili, itafutiwa usajili wake pamoja […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News