“Mimi ni staa mkali kuliko nyinyi wote” – Tekno Miles

Staa mwimbaji Tekno Miles kutoka Nigeria huenda akaingia kwenye matatizo na wasanii wengine baada jana kupost video akisema yeye ni msanii mkali kuliko msanii yeyote barani Afrika kwasa, kitendo hicho kimefanya mashabiki kumjibu kwa matusi na kupelekea staa huyo kuifuta video ndani ya dakika chache. Hii inakuja siku chache baada ya Billboard kumtaja Tekno kwenye […] The post “Mimi ni staa mkali kuliko nyinyi wote” – Tekno Miles appeared first on millardayo.com....

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News