“Kwenye hili tunakaribisha rushwa” -Mbunge Aeshi

Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilaly ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni akichangia mapendekezo yake katika taarifa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kuhusu shughuli za kamati kwa mwaka 2017 ambapo ambapo alilalamikia hatua za Serikali kuwanyima uhuru wafanyabiashara wa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News