“Hivi kale kamsemo kuwa Okwi mhenga bado kapo?”-Haji Manara

Wekundu wa Msimbazi Simba SC Jumatano ya February 7 2018 walikuwa uwanja wa Taifa DSM kucheza mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu dhidi ya Azam FC, Simba katika game hiyo walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 limefungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 37. Goli hilo la Okwi linakuwa ni goli lake la 13 katika […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News