“Diamond anamiliki nyumba 29 hii ndiyo nyumba ya gharama sana”

Dalali Skoba ambaye amemtafutia Diamond Platnumz mjengo ambao amenunua amezungumza na kusema kuwa Diamond anamiliki nyumba 29 na kati ya nyumba hizo hii ndiyo nyumba yenye gharama kubwa zaidi aliyoitaja kuwa ni Billion moja na kusema kwamba swala la nyumba ni kitu cha kawaida kwa Diamond kumiliki. Dalali huyo amesema kuwa hakuna staa mwingine aliowahi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News