“Bado JPM anahitaji kuungwa mkono 2018”- Dr. Mwanjelwa

Naibu Waziri wa Kilimo Dr. Mary Mwanjelwa katika kusheherekea sikukuu ya Mwaka Mpya 2018 amewataka Watanzania nchini kote kuunga mkono kwa vitendo juhudi za uwajibikaji wa serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli. Dr. Mwanjelwa ametoa wito huo January 1, 2018 wakati akitoa salamu […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News