‘Watu wasiojulikana’ wamuibua  Mkuu wa Majeshi

SAKATA la uvamizi na kupigwa risasi na watu wasiojulikana limemuibua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Venance Mabeyo ambaye amesema vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi wa matukio hayo, anaandika Mwandishi Wetu. Hivi karibuni kumekuwa na matukio mabaya ya uhalifu likiwamo la Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema),  ambaye amepigwa risasi zaidi ya ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News