‘Walimu wa Kiswahili Fundisheni Kwa Weledi’

Na Ali Issa Maelezo Zanzibar   13/3/2018WALIMU wa somo la Kiswahili katika skuli za sekondari, wametakiwa kufuata misingi na taratibu za ufundishaji ili wanafunzi wanaowafundisha waweze kufaulu somo hilo kwa kiwango cha juu.Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Zanzibar kwenye ofisi Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) Mwanakwerekwe, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri, amesema wanafunzi wengi wamekuwa wakifeli mitihani ya somo hilo kutokana na walimu kutofuata misingi ya taaluma na taratibu za ufundishaji.Amesema kimsingi, wanafunzi wa lugha ya Kiswahili hawapaswi kufeli somo hilo kwa idadi kubwa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News