‘SHERIA HAIWATAJI WABUNGE VITI MAALUMU KUHUDHURIA KAMATI ZA FEDHA’

Ramadhan Hassan, Dodoma Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imesema sababu za wabunge wa Viti Maalumu kutoingia kwenye kamati za fedha katika halmashauri  ni kutokana na wabunge hao kutokutajwa katika sheria. Naibu Waziri wa Tamisemi, Joseph Kakunda alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Taska Mbogo (CCM), aliyetaka kujua ni kwa nini wabunge wa viti maalumu hawaingii kwenye vikao vya kamati za fedha za halmashauri zao. Alisema wabunge wa Viti Maalum ni sawa na Wabunge wengine wa majimbo na hakuna tofauti ya kiapo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News