‘KIBAJAJI’ ALIVYOWASHA MOTO MAGOMENI AKIMNADI MTULIA

Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, akimnadi kwa wananchi mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam. Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, akimumbea kuwa kwa wananchi mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News