‘Bandari ya Dar itumike kuboresha biashara’

DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Wafanyabishara katika soko la Kariakoo wameiomba Serikali kuweka mazingira mazuri yatakayowawezesha kuitumia bandari ya Dar es Salaam kwa ufanisi na kuboresha biashara zao. Wakihojiwa na JAMHURI wiki iliyopita, wafanyabiashara hao wamesema kuwapo kwa mazingira hayo kutawachochea kuagiza kwa wingi bidhaa kutoka nje ya nchi, hivyo kuchangia ongezeko la pato linalotokana na kodi na ushuru. Justine Massawe,mmiliki wa duka la nguo lililoko katika mtaa wa Agrey, amesema taratibu za ukusanyaji wa kodi hasa katika uondoaji wa mizigo bandarini, zimechangia kuwakatisha tamaa wafanyabiashara kuitumia bandari...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News