CHIRWA FITI KUIVAA SIMBA

NA MWANDISHI WETU DAKTARI wa Yanga, Edward Bavu, amewatoa hofu mashabiki wa kikosi hicho baada ya kusema kwamba straika wao, Obrey Chirwa, ataanza mazoezi muda wowote kujiwinda na Simba, katika mchezo wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kupigwa Agosti 23, mwaka huu. Chirwa amekosekana uwanjani kwa muda sasa kutokana na majeraha yanayomkabili, lakini daktari wa kikosi hicho amethibitisha kwamba anaendelea vizuri na ndani ya wiki ijayo anaweza kuanza kujifua. “Kwa ujumla anaendelea vizuri na ninatarajia Mungu akipenda, wiki ijayo anaweza akaanza mazoezi sambamba na mwenzake, Geofrey Mwashiuya, ambaye naye amekuwa nje...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News